Sunday, 11 March 2018

KARIBU KUSHIRIKI MBARAKA HUU


TUKIO MUHIMU 07 April 2018




WATUMISHI DAY 07 APRIL 2018

Ni tukio muhimu la uzinduzi wa Audio CD  # 02 na # 03

Tunakualika kwa dhati  wewe mdau wa Injili na Muziki katika tukio hili

Muhimu na makini tafadhali usipange kukosa

TUKIO LITAFANYIKA: Kipera SDA Church Buza Temeke

KWAYA ALIKWA: 
  • Kurasini Adventist Choir 
  • Kifuru Adventist Choir
  • Buza Vijana Youth  Choir
  • Karol Luanga Roman Catholic

VIKUNDI ALIKWA:

  • Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandamizaji)
  • Hellen Singers Golani SDA Church
  • Family Singer Buguruni SDA Church
  • Laos Singers Kipera SDA Church
  • Grace Voice Nazareth SDA Church
  • Angel Family Kipera SDA Church

KARIBU KUSHIRIKI MBARAKA HUU